MICHEZO
September 04, 2024
23 views 42 secs 0

WINGA WA ZAMANI WA MAN U ANTHONY MARTIAL APEWA MKATABA NA AEK ATHENS

Winga wa zamani wa Manchester United Anthony Martial, 28, amepewa mkataba na AEK Athens ambao utamfanya kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi klabuni hapo. Mfaransa huyo alikua mchezaji huru wakati kandarasi yake United ilipoisha mwezi Juni. (Sport24 via Sun). Manchester United inamfuatilia kwa karibu beki wa kushoto wa Juventus mwenye umri wa miaka 23 kutoka […]

MICHEZO
September 04, 2024
16 views 39 secs 0

TOTTENHAM KUMNUNUA KIUNGO WA KATI WA MAREKANI JOHNNY CARDOSO

Mazungumzo yanaendelea kati ya Chelsea na AEK Athens kuhusu uhamisho wa mshambuliaji wa Ivory Coast David Datro Fofana, 21. (Mail) Tottenham wamefanya mazungumzo ya kumnunua kiungo wa kati wa Marekani Johnny Cardoso, 22, kwa £21m kutoka Real Betis. (Telegraph – Subscription Required) Kiungo wa kati wa zamani wa Liverpool Naby Keita, 29, yuko kwenye mazungumzo […]

KIMATAIFA
December 27, 2023
170 views 17 secs 0

VITA VYA ISRAEL NA GAZA VITAENDELEA KWA MIEZI KADHAA,MKUU WA IDF AONYA

Vita vya Israel na wapiganaji wa Hamas huko Gaza vitaendelea kwa “miezi mingi zaidi”, mkuu wa jeshi la Israel amesema. “Hakuna suluhu za kichawi,” Herzi Halevi aliwaambia waandishi wa habari. Siku ya Jumatatu Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alionya kwamba operesheni “haijakaribia kuisha”. Israel inasema ilipiga zaidi ya maeneo 100 siku ya Jumanne. Inaripotiwa kuendeleza operesheni […]

KIMATAIFA
December 27, 2023
180 views 24 secs 0

Vita vya Israel na Gaza: Hamas yaripoti vifo 241 huko Gaza ndani ya saa 24

Wizara ya afya ya Gaza inayosimamiwa na Hamas imesema takribani watu 241 waliuawa katika kipindi cha saa 24 zilizopita, huku operesheni ya kijeshi ya Israel ikiendelea katika eneo hilo. Rais wa Palestina Mahmoud Abbas amevitaja vita hivyo kuwa ni uhalifu mkubwa dhidi ya watu wake. Mkuu wa jeshi la Israel Herzi Halevi alisema mzozo na […]

KIMATAIFA
December 27, 2023
189 views 17 secs 0

Israel yatoa tahadhari baada ya mlipuko karibu na ubalozi nchini India

Israel imetoa tahadhari kwa raia wake nchini India baada ya mlipuko karibu na ubalozi wa nchi hiyo huko Delhi. Mlipuko huo ulifanyika Jumanne jioni katika eneo la kidiplomasia la mji mkuu wa Chanakyapuri. Hakuna mtu aliyejeruhiwa, lakini polisi walisema walipata vipande kutoka mahali hapo. Uchunguzi unaendelea. Israel imewataka raia wake kuepuka maeneo yenye watu wengi […]

KIMATAIFA
December 27, 2023
186 views 31 secs 0

Florida: Dada auawa kwa kupigwa risasi katika mzozo wa zawadi ya Krismasi

Ndugu wawili wamekamatwa baada ya dada yao kupigwa risasi na kuuawa wakati wa mabishano kuhusu zawadi za Krismasi. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 23 alipigwa risasi kifuani na kakake huku akiwa na mtoto wake wa kiume wa miezi 10 kwenye gari la kubebea mizigo, polisi mjini Florida ilisema. Mvulana huyo baadaye alipigwa risasi na […]

KIMATAIFA
December 26, 2023
178 views 2 mins 0

Pentagon: Tulishambulia kwa mabomu maeneo nchini Iraq

Jeshi la Marekani limeshambulia makundi vya wanamgambo yanaoungwa mkono na Iran nchini Iraq, saa chache baada ya wafanyakazi wa Marekani kujeruhiwa katika shambulio la ndege zisizo na rubani dhidi ya kambi ya anga ya Marekan. Mkuu huyo wa ulinzi wa Marekani alisema maeneo matatu yanayotumiwa na Kataib Hezbollah na makundi mengine yalishambuliwa kujibu mashambulizi dhidi […]

KIMATAIFA
December 26, 2023
217 views 35 secs 0

Kampuni ya meli ya Maersk inajiandaa kurejelea shughuli zake katika Bahari Nyekundu

Kampuni kubwa ya meli ya Denmark ya Maersk imesema inajiandaa kurejesha shughuli za meli kupitia Bahari Nyekundu na Ghuba ya Aden. Hatua hiyo inafuatia kuanzishwa kwa operesheni ya kijeshi ya kimataifa kuzuia mashambulizi dhidi ya meli za kibiashara na waasi wa Houthi wa Yemen. Makampuni kadhaa yamesitisha usafirishaji bidhaa kupitia Bahari Nyekundu kufuatia mashambulio hayo. […]

KIMATAIFA, MICHEZO
December 26, 2023
157 views 56 secs 0

Gunners wanaongoza jedwali la Ligi Kuu ya Uingereza

Arsenal wanang’ara kileleni mwa Ligi Kuu ya Uingereza, lakini hilo linaweza kubadilika leo kwani Liverpool na Aston Villa – wako nyuma kwa pointi moja – wanaweza kuchukua nafasi zao. Liverpool watasafiri kwenda Burnley na Aston Villa wako Old Trafford kumenyana na Manchester United, lakini The Gunners hawatacheza tena hadi Alhamisi. Arsenal wanashauriwa kuwa makini. Kuongoza […]