URENO KUANDAA KITUO CHA KWANZA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA
Kituo cha kwanza rasmi cha matumizi ya dawa za kulevya nchini Uingereza ikiwa ni pamoja na heroini na kokeini kimeidhinishwa na mamlaka huko Glasgow. Kituo hicho kinaungwa mkono na serikali ya Scotland kama njia ya kukabiliana na janga la vifo vinavyotokana na dawa za kulevya nchini humo. Mpango huo wa majaribio utakuwa katika kituo cha […]