Waziri bashungwa akagua uwanja WA kimataifa WA Golf
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent L. Bashungwa ametembelea na kukagua utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa kimataifa wa Golf unaotekelezwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) eneo la Ihumwa, Jijini Dodoma. Mradi huo, unajumuisha viwanja 18 vya mchezo wa Golf, Hoteli kubwa yenye hadhi ya […]