LIGI YA BASHUNGWA KARAGWE CUP 2024 YAHITIMISHWA KWA KISHINDO
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mashindano ya mpira wa Miguu ya BASHUNGWA KARAGWE CUP 2024 yaliyoanza mwezi Julai 2024 yamefikia tamati Agosti 25, 2024, kwa timu ya Nyabiyonza kuchukua ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuifunga timu ya Ndama kwa goli 2-1 Katika Uwanja wa Bashungwa uliopo Kayanga Wilayani Karagwe Mkoani Kagera. Mashindano hayo […]