KITAIFA
March 28, 2024
395 views 2 mins 0

SERIKALI KUONGEZA BILIONI 4 KUKAMILISHA UPANUZI WA NJIA NNE BUKOBA MJINI

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa tayari Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuongeza kiasi cha Shilingi Bilioni 4 kukamilisha upanuzi wa barabara ya njia nne Bukoba Mjini (Rwamishenye Round about – Stendi ya Bukoba Mjini) yenye urefu kilometa 1.6. Bashungwa amesema hayo leo tarehe 28 Machi 2024 wakati alipowasili katika Ofisi za […]

KITAIFA
March 08, 2024
285 views 2 mins 0

BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI, BARABARA YA LIWALE-NANGURUKURU YAANZA KUPITIKA

LINDI -LIWALE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameipongeza timu ya Wataalam kutoka Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), kwa kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara ya Liwale – Nangurukuru ambayo imeanza kupitika. Waziri Bashungwa ameeleza hayo leo Machi 08, 2024 mkoani Lindi wakati akikagua urejeshwaji wa miundombinu ya […]

KITAIFA
March 04, 2024
231 views 2 mins 0

BASHUNGWA ATOA MASAA MATATU KUREJESHWA.MAWASILIANO YA BARABARA YA MTWARA-MASASI ILIYOKATIKA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameelekeza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara iliyokatika eneo la Maili Mbili katika barabara ya Mtwara-Mingoyo-Masasi ndani ya masaa matatu mara baada ya Daraja kusombwa na maji katka eneo hilo. Bashungwa ametoa agizo hilo tarehe 04 Machi, 2024 Wilayani Masasi akiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais […]

KITAIFA
February 23, 2024
251 views 3 mins 0

BARABARA YA TANGA-KILOSA-MIKUMI-LUPEMBE KUPANDISHWA HADHI KUWA BARABARA KUU ‘TRUNK ROAD’

MOROGORO Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour kuipandisha hadhi barabara ya Tanga – Kilosa – Mikumi – Lupembe – Njombe kuwa barabara kuu ‘Trunk Road’ ili kuinua uchumi katika mikoa yaTanga, Morogoro na Njombe ambapo barabara hiyo inapita. Bashungwa, ameyasema hayo wakati anakagua Ujenzi wa […]