MAWASILIANO SOMANGA- MTAMA YAANZA KUREJEA ABIRIA WASHUKURU
Mawasiliano ya Barabara Somanga – Mtama yameanza kurejea kwa hatua katika barabara iendayo mikoa ya Kusini tangu leo alfajiriย baada ya wataalamu wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana kurekebisha eneo la Somanga na Matandu lililoharibiwa na mvua na kufanya njia isipitike. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ambaye ameweka kambi katika eneo […]