DKT BITEKO SHILINGI BILIONI 108.43 KUWEZESHA UANZISHAJI,UENDELEZAJI VIWANDA VYA KUONGEZA
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mwananchi Communications Ltd yapongezwa kwa ubunifu Kongamano la Wajasiriamali wadogo na wa kati kuibua fursa (MSMEs) Serikali kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) imetoa mikopo ya shilingi bilioni 108.43 ili kuwezesha uanzishaji na uendelezaji wa viwanda vya uongezaji thamani wa mazao ya kilimo na mifugo nchini. Hayo yamebainishwa leo Julai […]