ADC NA EQUITY BANK WASHIRIKIANA KUWAPA MAFUNZO WAJASIRIAMALI WANAWAKE KUJITAMBUA KATIKA BIASHARA ZAO
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA ADC Limited Tanzania Kwa kushirikiana na Equity Bank wamefanya semina ya kuwafunza wajasiriamali wanawake Kwa kuwapa elimu ya fedha na Uwekezaji na kuweka Bajeti na kujitenganisha na biashara zao Hayo ameyasema Leo na Meneja wa wanawake na vijana kutoka Equity Bank Jackline Jacob Temu Amesema Equity Bank waliazisha […]