WATUHUMIWA 12 WA KILO 726.2 ZA DAWA ZA KULEVYA WAFIKISHWA MAHAKAMANI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA PWANI Watuhumiwa watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha Mkoani Pwani jana tarehe 22 Aprili, 2024 wakikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Methemphetamine Kilogramu 424.84 pamoja na Heroin Hydrochloride gramu 158.24 kinyume cha kifungu cha 15 (1) (a) na cha (3) (i) cha Sheria ya Kudhibiti na […]