MABILIONI YA RAIS SAMIA YAANZA KUZAA MATUNDA BANDARI YA TANGA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA IMEELEZWAย kwamba Rais wa Jamhuri wa Muungano Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kutoa Sh bilioni 429.1 kwa ajili ya uwekezaji katikaย bandari ya Tanga, sasa matunda yameanza kuonekana. Rais Samia alitoa kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya uboreshaji wa bandari hiyo. Akizungumza jijini Tanga, meneja wa bandari hiyo, Masoud ,Mrisha, alisema […]