WACHEZAJI TFRA WAKABIDHI MAKOMBE KWA UONGOZI WA MAMLAKA
Washiriki wa michezo lililoandaliwa na Shirikisho la michezo yaMashirika, Taasisi za Umma na Binafsi (SHIMMUTA) wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) wamerejea na kukabidhi makombe mawili ya ushindi wa kwanza waliyoyapata wakati wa ushiriki wao katika michezo hiyo. Akipokea makombe hayo ikiwa ni la ushindi katika mchezo wa pool table na kukimbia ndani […]