Serikali: Faida itokanayo na uwekezaji ifikie zaidi ya asilimia 10
Na Mwandishi Wetu SERIKALI inataka faida itokanayo na uwekezaji katika kampuni ambazo inaumiliki wa hisa chache iongezeke kutoka asilimia saba ya sasa hadi kufikia zaidi ya 10 mwaka ujao wa fedha Dhamira hiyo ilielezwa Ijumaa, Machi 28, 2025, na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka wilayani Kibaha, mkoani Pwani, wakati wa kufunga mkutano […]