MAKONDA AMTEMBELEA ASKOFU DKT MALASUSA,AMHAKIKISHIA VIONGOZI WA KIROHO KUMWOMBEA RAIS SAMIA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Taifa, Ndugu Paul Christian Makonda amemtembelea Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Mkuu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, kwa lengo la kumsalimia na kumpongeza kwa kuchaguliwa kwake kuliongoza kanisa hilo, kwa mara nyingine. Katika mazungumzo yao yaliyofanyika leo Jumamosi, Disemba 2, 2023, Askofu […]