MHE KAPINGA AKAGUA UJENZI WA FLOW METER NA MAPIPA MAPYA YA KUHIFADHI MAFUTA BANDARINI
Dar Es Salaam Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Miundombinu ya Kupimia Mafuta yanayoingia na kutoka nchini Pamoja na Ujenzi wa Mapipa mapya ya Kuhifadhi Mafuta Bandarini. Mhe. Kapinga amefanya ziara hiyo Tarehe 9, Januari 2024, ikiwa ni kufuatilia maelekezo ya Mhe. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati […]