WAZIRI MKUU NA MKURUGENZI WA AMREF WATETA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MAREKANI WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa alifanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Amref Health Africa Dkt. Githinji Gitahi, kando ya Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 79) ambao alishiriki kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassanย Jijini New York, Katika mazungumzo hayo yalifanyika juzi, Majaliwa alilipongeza shirika […]