JWTZ NA JESHI LA MAREKANI WAZINDUA MAFUNZO YA PAMOJA.
Jeshi la Marekani na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamezindua mafunzo ya pili ya pamoja ya kila mwaka katika hafla iliyofanyika katika Kituo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani Kunduchi Tarehe 21 Julai 2023. Mafunzo haya yatafanyika sehemu mbalimbali Tanzania katika kipindi cha miezi michache ijayo kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya vikosi […]