KITAIFA
November 23, 2023
156 views 2 mins 0

MPANJU:JITOKEZENI KATIKA MIKUTANO YA HADHARA KUTANGAZA KAZI ZENU

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju amewasisitiza Maafisa Maendeleo ya Jamii kujitokeza katika mikutano ya hadhara hasa ya viongozi wa kisiasa ili wanadi kazi zao kwa wananchi ili zifahamike zaidi. Wakili Mpanju ameyasema hayo Novemba 22, 2023 jijini Arusha, wakati wa kufunga kongamano la siku […]

KITAIFA
October 07, 2023
127 views 3 mins 0

MHE.KAIRIKI AANIKA MABORESHO YA UTALII AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki amesema Serikali ya Tanzania inafanya maboresho makubwa kwenye miundombinu sekta ya utalii na amewakaribisha wawekezaji kutoka sehemu mbalimbali duniani kuja kuwekeza nchini kwa kuwa Tanzania imejaaliwa kuwa na maliasili za kipekee, vivutio vya kitamaduni na maeneo marefu ya fukwe za Tanzania Bara na Zanzibar. Mhe. Kairuki ametoa […]

KITAIFA
August 12, 2023
259 views 29 secs 0

KATAMBI AMTAKA MKANDARASI AMALIZE UWANJA WA MPIRA MKWARAA KWA WAKATI

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amemuagiza mkandarasi anayejenga uwanja wa mpira wa Kwaraa kumaliza kwa wakati ili kutumika katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru. Mhe. Katambi ametoa maelekezo hayo Agosti 11,2023 wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya uwanja huo kuelekea […]

KITAIFA
August 06, 2023
459 views 2 mins 0

NDOA 70 ZA FUNGWA LEO KWA MKUPUO JIJINI DAR ES SALAAM

Ndoa 70 za vijana wasiokuwa na uwezo wa kutoa mahari zimefungwa leo kwa pamoja jijini Dar es Salaam katika moja ya matukio nadra kwa dini ya kiislamu nchini Tanzania katika miongo ya hivi karibuni. Ndoa hizo zimefungwa kwenye ukumbi wa DYCCC, Chang’ombe na kushuhudiwa na maelfu ya watu pamoja na viongozi mbalimbali akiwemo Naibu Spika […]

KITAIFA
August 06, 2023
312 views 2 mins 0

NURDIN KISHKI:KUFUNGISHA NDOA 70 KWA MABWANA HARUSI

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Al-Hikma Foundation, Sheikh Nurdin Kishki amesema kati ya mabwana harusi 70 wanaofungishwa ndoa nusu yao wametoka Mkoa wa Dar es Salaam. Hayo yamebainika wakati mkurugenzi huyo akitaja maeneo waliyopeleka mahari huku akitaja katika Jiji la Dar es Salaam wamepeleka maeneo 32 ukifuatiwa na Mkoa wa Tanga sehemu tano. “Dar es […]