OSHA YATOA MAFUNZO KWA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI
Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA) imefanya semina elekezi kwa Waheshimiwa Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti leo tarehe 10 Septemba, 2023, mkoani Arusha. Aidha, semina hiyo ililenga kutoa uelewa kwa Kamati hiyo kuhusu majukumu yanayotekelezwa na OSHA na namna taasisi hiyo iliyopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu […]