BIASHARA
January 16, 2025
57 views 2 mins 0

AKIBA COMMERCIAL BANK PLC YAWAZAWADIA WASHINDI WA KAMPENI YA TWENDE KIDIGITAL TUKUVUSHE JANUARI

Na Mwandishi wetu-Dar es salaam Akiba Commercial Bank imewashukuru wateja wake kwa kushiriki katika kampeni “twende kidigital tukuvushe Januari” na imewahimiza kuendelea kutumia huduma zake za kidijitali kama vile ACB Mobile, Internet Banking, ACB VISA Card, na ACB Wakala ili kufurahia uzoefu wa kipekee wa kibenki. Shukrani hizo zimetolewa  Jijini Dar es salaam Januari,2025  Mkuu […]