MAJALIWA:SUALA LA MAZINGIRA LIWE AJENDA KITAIFA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DODOMA WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema suala la uhifadhi wa mazingira liwe ajenda ya Kitaifa na jukumu la kila mmoja kuanzia ngazi ya familia mpaka Taifa. Kauli hiyo aliitoa jana wakati akifunga mkutano maalum wa viongozi na wadau wa mazingira ulioitishwa ili kujadili mwenendo wa mazingira nchini, mkutano ambao ulifanyika kwenye […]