KITAIFA
October 06, 2023
248 views 8 secs 0

TASAF KUONGEZA IDADI YA MIZIGO BANDARINI

Idadi ya mizigo iliyotangazwa bandarini Tanzania iliongezeka kutoka 6000 mwaka 2019/20 hadi 70000 mwaka 2021/22 kwa mujibu wa Wakala wa Meli Tanzania (Tasac) Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TASAC, Nelson Mlali, alisema ongezeko hilo limetokana na jitihada mbalimbali zinazofanywa na wakala huo ikiwa ni pamoja na uanzishaji wa masijala ya wazi ya meli na ukarabati wa […]

KITAIFA
October 05, 2023
169 views 2 mins 0

SERIKALI IMEAHIDI KUWEKA MAZINGIRA MAZURI YA UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA NISHATI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dtk. Doto Biteko amesema kuwa Serikali itahakikisha inaweka mazingira mazuri zaidi ya uwekezaji kwenye Sekta ya Nishati ili kuchochea maendeleo ya uchumi nchini. Waziri Biteko ameyasema hayo, Oktoba 05, 2023 wakati alipokuwa akizindua ripoti ya utafiti wa ushirikiano kwenye sekta ya Nishati kati ya Tanzania na Sweden […]

KITAIFA
October 04, 2023
187 views 52 secs 0

RC CHALAMILA APOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA TOKA SHIRIKA LA DKT INTERNATIONAL

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Oktoba 4, 2023 amepokea vifaa tiba toka Shirika la DKT international ambavyo amevielekeza katika Wilaya ya Kigamboni na Ubungo Jijini Dar es Salaam. Akipokea msaada huo wa vifaa tiba RC Chalamila amelishukuru Shirika hilo kwa kuunga mkono juhudi za Rais Dkt Samia Suluhu Hassan […]

KITAIFA
October 03, 2023
175 views 5 mins 0

MAJALIWA ATATUA MGOGORO WA ARDHI JIJI LA MWANZA

*Aruhusu ghorofa lijengwe, wawili wasimamishwa, mmoja arudishwa Wizarani * Dodoma nako awasha moto, 11 wasimamishwa kazi WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Elikana Balandya awasimamishe kazi watumishi wawili wa Jiji la Mwanza huku akiagiza Kamishna Msaidizi wa Ardhi mkoa huo arudishwe wizarani na kuchukuliwa hatua za kinidhamu. Ameagiza ujenzi […]

KITAIFA
October 02, 2023
138 views 3 mins 0

WAZIRI MKUU ATOA MIEZI MITATU KWA WAKUU WA MIKOA

*Awataka waanzishe vituo vya uwezeshaji wananchi kiuchumi kabla ya 2024 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa miezi mitatu kwa Wakuu wa Mikoa yote nchini ambao bado hawajaanzisha vituo vya uwezeshaji wananchi kiuchumi kama ilivyoelekezwa katika Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020/2025 wawe wameshaanzisha kabla ya mwaka 2024. Pia, Mheshimiwa Majaliwa amewataka Viongozi na Watendaji Wakuu wa […]