KITAIFA
November 23, 2023
156 views 2 mins 0

MPANJU:JITOKEZENI KATIKA MIKUTANO YA HADHARA KUTANGAZA KAZI ZENU

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju amewasisitiza Maafisa Maendeleo ya Jamii kujitokeza katika mikutano ya hadhara hasa ya viongozi wa kisiasa ili wanadi kazi zao kwa wananchi ili zifahamike zaidi. Wakili Mpanju ameyasema hayo Novemba 22, 2023 jijini Arusha, wakati wa kufunga kongamano la siku […]

KITAIFA
November 10, 2023
269 views 9 mins 0

MBUNGE WA JIMBO LA ULANGA NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA RUBY INTERNATIONAL LTD AMETOA HAMASA KWA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI

MBUNGE wa Jimbo la Ulanga na Mkurugenzi wa kampuni ya Ruby International limited inayojishughhulisha na uchimbaji pamoja na ununuzi wa madini ya vito (SIPNEL)Tanzania na nje ya nlchi Salim Hasham Amesema wanaendelea kufanya shughuli hizo ikiwa lengo kubwa ni kupata riziki na kusaidia nchi Kwa ajili ya kusapoti kauli mbiu ya Visionย  2030 madini ni […]

KITAIFA
October 16, 2023
250 views 3 mins 0

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2023 AMPONGEZA MBUNGE KITETO

Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Kitaifa mwaka 2023, Abdalla Shaib Kaim, amempongeza Mbunge wa jimbo Kiteto Mkoani Manyara Edward Ole Lekaita kwa kushiriki Kikamilifu kwenye shughuli ya Kitaifa za kuupokea na kukimbiza mwenge wa uhuru ulipokua Wilayani Kiteto hadi kukabidhiwa kwake katika Wilaya ya Simanjiro. Kaimu ameyasema hayo Jana wakati alipokua akiagana na […]

KITAIFA
October 07, 2023
128 views 3 mins 0

MHE.KAIRIKI AANIKA MABORESHO YA UTALII AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki amesema Serikali ya Tanzania inafanya maboresho makubwa kwenye miundombinu sekta ya utalii na amewakaribisha wawekezaji kutoka sehemu mbalimbali duniani kuja kuwekeza nchini kwa kuwa Tanzania imejaaliwa kuwa na maliasili za kipekee, vivutio vya kitamaduni na maeneo marefu ya fukwe za Tanzania Bara na Zanzibar. Mhe. Kairuki ametoa […]

KITAIFA
May 12, 2023
178 views 2 mins 0

SERIKALI KUGHARAMIA MATIBABU KWA MAJERUHI NA MAZISHI YA WANAFUNZI WA AJALI – BAHI

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema Serikali itagharamia mazishi ya Wanafunzi wawili (2) wa shule ya sekondari  Mpalanga Wilayani Bahi waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea jana majira ya saa 5:00 asubuhi katika Kijiji cha Chidilo  Wilayani humo. Aidha, Mhe. Senyamule ameahidi kuwa, Serikali itagharamia matibabu ya wanafunzi wote majeruhi31 walioumia katika ajali hiyo ambao wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Ajali hiyo imehusisha gari yenye […]