KITAIFA
November 29, 2023
183 views 2 mins 0

BREAKING NEWS: CHONGOLO AJIUZULU RASMI

Chama Cha Mapinduzi kimefanya kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa tarehe 29 Novemba 2023 Jijini Dar Es Salaam chini ya Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kilijadili hali ya kisiasa ndani ya Chama na nje ya Chama […]

KITAIFA
November 10, 2023
269 views 9 mins 0

MBUNGE WA JIMBO LA ULANGA NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA RUBY INTERNATIONAL LTD AMETOA HAMASA KWA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI

MBUNGE wa Jimbo la Ulanga na Mkurugenzi wa kampuni ya Ruby International limited inayojishughhulisha na uchimbaji pamoja na ununuzi wa madini ya vito (SIPNEL)Tanzania na nje ya nlchi Salim Hasham Amesema wanaendelea kufanya shughuli hizo ikiwa lengo kubwa ni kupata riziki na kusaidia nchi Kwa ajili ya kusapoti kauli mbiu ya Visionย  2030 madini ni […]

BIASHARA
August 26, 2023
181 views 3 mins 0

WATANZANIA ANZISHENI MIRADI KWENYE SEKTA YA MADINI TIC

KITUO cha uwekezaji Tanzania (TIC) kimewataka watanzania kote nchini kuweza kuanzisha miradi mbalimbali ikiwemo kwenye sekta ya madini na kuweza kuzalisha ajira nakuongeza thamani Kwa lengo la kuanyanyua uchumi wa maendeleo nchini. Akizungumza katika kongamano la uwekezaji lililofanyika katika viwanja vya soko jipya _kilimahewa wilayani ruangwa katika Mkoa wa Lindi ambapo yanafanyika Maonesho ya madini […]

KIMATAIFA, KITAIFA
May 31, 2023
66 views 2 secs 0

AIR TANZANIA CARGO KUWASILI NCHINI JUNI 3

Mkurugenzi wa Idara ya Habari โ€“ MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ndege ya mizigo inatarajia kufika nchini Juni 3 mwaka huu na kuwa Juni 1, 2023, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Makame Mbarawa atazungumza na waandishi wa habari kuhusu upokeaji wa ndege hiyo. Amesema hayo leo Mei 31, 2023 katika […]