KITAIFA
September 05, 2023
217 views 2 mins 0

WAZIRI ULEGA: WAWEKEZAJI WANAPASWA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA UVUVI

SERIKALI imeweka mikakati itakayotekelezwa na nchi hivyo kuwa kitovu cha chakula Afrika na duniani kote,ili iweze kunufaika na tishio la baa la njaa linaloikabili dunia,kwa kuuza chakula katika maeneo mbalimbaliduniani. Mikakati hiyo ni pamoja na ile ya Kibajeti,Kisera,Teknolojia,Uwekezajina Ushirikiano baina yake na taasisi mbalimbali za ndani na nje yanchi. Hayo yanatokea wakati takwimu zinaonyesha wananchi […]

KITAIFA
September 05, 2023
186 views 2 mins 0

MAKAMU MPANGO: SERIKALI IMEONGEZA BAJETI YA KILIMO KWA TAKRIBANI ASILIMIA 70

Makamu wa Rais Dkt Phillip Mpango amesema Serikali inaendeza kufanyia jitihada za kuhakikisha kutimiza Mpango wa Pili wa Maendeleo Endelevu (SDG-2) ili kufikia sifuri ya njaa ifikapo 2030 na kuongeza uwezo wa nchi kuwa kama ghala la chakula la kikanda na kimataifa. Makamu wa Rais ameyasema hayo jijini Dar es Salaam katika ufunguzi wa mkutano […]

KITAIFA
September 05, 2023
216 views 6 secs 0

KATIBU MKUU MHANDISI LUHEMEJA ASISITIZA UBUNIFU KWA WATENDAJI WAKE

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhandisi Cyprian Luhemeja amewataka watendaji wa ofisi yake kuwa wabunifu na kufanya kazi kwa malengo yanayopimika ili kuiwezesha serikali kufikia malengo na kuwahudumia wananchi. Mhandisi Luhemeja ameyasema hayo Septemba 5, 2023 mara baada ya kukabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa ofisi […]

KITAIFA
September 05, 2023
117 views 2 mins 0

RAIS WA AGRA AGNES: IDADI YA WATU MILLION 22 WANAKADILIWA KUONGEZEKA NA NJAA 2023

Rais wa AGRA Agnes Karibata amesema Kila mmoja wetu anahitaji kwa usawa na anastahili kimungu kupata chakula bora. walakini, pamoja na migogoro mingi ya kimataifa ya upotevu wa bayoanuwai, mabadiliko ya hali ya hewa na kuenea kwa jangwa, janga la COVID-19 na vita vinavyoendelea vya Urusi na Ukraine, Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar […]