WAZIRI BASHE UKITAKA TREKTA VIJANA MUSHINDANE
Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na taasisi ya mifumo ya chakula (AGRA) na kampuni ya John Deer inatarajia kuanza mchakato wa kuwashindanisha vijana kwenye vikundi na kuwapatia zawadi ya trekta lengo likiwa kuendelea kuhamasisha vijana kuingia kwenye sekta ya kilimo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam waziri wa kilimo Hussein Bashe amesema […]