KITAIFA
September 27, 2023
187 views 2 mins 0

BILIONI 5.7 KUUNGANISHA KIJIJI CHA KAPETA NA LANDANI KWA LAMI

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza ujenzi wa Barabara ya Kiwiraโ€“Landani kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Km 5 pamoja na daraja lenye urefu wa mita 40 kwa gharama ya shilingi bilioni 5.7 Wilayani Ileje ili kurahisisha shughuli za kijamii na kiuchumi. Hayo yameelezwa na Meneja wa TARURA Mkoa wa Songwe, […]

KITAIFA
September 21, 2023
190 views 4 mins 0

WAZIRI MKUU AMTUMBUA DED UVINZA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Kigoma, Steven Mafiga afanye haraka kuwachunguza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, Bi. Zainab Mbunda na Mweka Hazina wa Wilaya hiyo, Bw. Majjid Mabanga ili kubaini ni kwa nini miradi haiendi wakati fedha zilishatolewa kitambo. “Kamanda wa TAKUKURU Mkoa kamilisha hiyo kazi kwa […]

KITAIFA
September 21, 2023
186 views 2 mins 0

TANZANIA KUSHIRIKI KATIKA UTEKELEZAJI WA MAENDELEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema ushiriki wa sekta binafsi ni muhimu katika kukabiliana na upungufu wa fedha za maendeleo ili kutekeleza malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) duniani. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akichangia katika mjadala wa viongozi wa ngazi ya juu kuhusu ufadhili wa maendeleo […]

KITAIFA
September 20, 2023
132 views 54 secs 0

PROF. NDALICHAKO AKIPONGEZA KIWANDA CHA MBOLEA CHA ITRACOM KWA UTEKELEZAJI SHERIA ZA KAZI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amekipongeza kiwanda cha mbolea cha ITRACOM Fertilizer Limited kwa kuzingatia sheria za kazi ikiwemo kuwapa mikataba wafanyakazi, Usalama na afya mahali pa kazi na kuwasilisha michango ya wafanyakazi kwenye mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa wakati. Prof. Ndalichako […]

KITAIFA, Uncategorized
September 20, 2023
152 views 2 mins 0

MAKAMU WA RAIS USHIRIKIANO UNAHITAJIKA BAINA YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema ushirikiano unahitajika baina ya serikali, sekta binafsi, wadau wa maendeleo, taasisi za fedha za ndani, azaki pamoja na taasisi za elimu na utafiti ili kuitekeleza vema kampeni ya uwekezaji katika sekta ya maji barani Afrika. Makamu wa Rais amesema hayo alipomwakilisha […]

BIASHARA
September 14, 2023
190 views 3 mins 0

MAVUNDE AWATAKA WATUMISHI WIZARA YA MADINI KUIMARISHA USHIRIKIANO ILI KUFIKIA MALENGO

Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amewataka Watumishi wa Wizara na Taasisi zilizopo chini ya Wizara hiyo kushirikiana ili kuongeza ufanisi katika utendajikazi wao na hatimaye kufikia malengo waliyopangiwa. Ameeleza hayo Septemba 14, 2023, wakati akizungumza katika Kikao cha Watumishi wa Wizara ya Madini kilichofanyika jijini Dodoma. Amesema kuwa, Wizara ina vitu vikubwa inavyotakiwa kufanya […]

KITAIFA
September 14, 2023
179 views 2 mins 0

WAZIRI MAJAARIWA AWAFUNDA WAKANDARASI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kuchukua hatua za makusudi kuhakikisha wahandisi wazawa wanashiriki kwenye ujenzi wa miradi mbalimbali nchini. Amesema kuwa kupitia utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano wa Tanzania, unaolenga kupunguza ukosefu wa ajira kutoka 9% hadi 8% ifikapo 2025/26, Serikali inatarajia kutimiza […]

BIASHARA
September 12, 2023
91 views 3 mins 0

GWAJIMA:MUSITUMIE KAUSHA DAMU MUTAKAUKA DAMU

Wizara ya maendeleo ya jamii Jinsia na makundi maarum ambayo imetenga kiasi kidogo Cha fedha Kwa ajili ya maendeleo ya wanawake WDF ambayo inaleta muongozo wa Asilimia kumi unaoboreshwa na unaungana na mwongozo wa mfumo wa wanawake ambalo lengo ni kuondoa wizara ambazo zinazofatilia mtu mmoja mmoja zipite Katika mabank na wapate mafunzo na elimu […]

KITAIFA
September 11, 2023
227 views 58 secs 0

OSHA YATOA MAFUNZO KWA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI

Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA) imefanya semina elekezi kwa Waheshimiwa Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti leo tarehe 10 Septemba, 2023, mkoani Arusha. Aidha, semina hiyo ililenga kutoa uelewa kwa Kamati hiyo kuhusu majukumu yanayotekelezwa na OSHA na namna taasisi hiyo iliyopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu […]