KITAIFA
October 10, 2023
251 views 2 mins 0

EWURA YAPAMBA MOTO YAVIFUNGIA TENA VITUO VYA MAFUTA VIWILI

Kutokana na hali iliyokuwa na matukio Kwa baadhi ya maeneo hasa pembezoni mwa nchi kukosa mafuta hasa kipindi Cha kubadilishwa kwa Bei ya mafuta kunasababisha kuwa na usumbufu mkubwa Kwa wananchi na madhara ya kiuchumi EWURA imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kisheria ikiwemo kuvifungia baadhi ya vituo vilivyothibitika kuficha mafuta kinyume na kanuni na Miongozo […]

KITAIFA
October 08, 2023
139 views 3 mins 0

SH,BILIONI 163 KUTUMIKA KUIUNGANISHA KATAVI KATIKA GRIDI YA TAIFA

Kapinga aonya watakaokwamisha mradi Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Judith Kapinga amesema kuwa, shilingi Bilioni 163 zitatumika kuunganisha Mkoa wa Katavi katika Gridi ya Taifa na hivyo kuwezesha mkoa huo kupata umeme wa uhakika na unaotabirika. Mhe. Kapinga amesema hayo wakati akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi wakati wa ziara Katibu Mkuu wa […]

KITAIFA
October 07, 2023
136 views 45 secs 0

MHANDISI SEFF AMTAKA MKANDARASI BARABARA YA KASULU-KABANGA-KASUMO-MUYAMA KUKAMILISHA MRADI KWA WAKATI

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor H. Seff amemwelekeza Mkandarasi โ€˜Salum Motors Transport Co.Ltdโ€™ kuhakikisha anakamilisha kwa wakati ujenzi wa barabara ya Kasulu- Kabanga-Kasumo-Muyama km 36 ambapo awamu ya kwanza ya km 12.5 inaendelea kujengwa kwa kiwango cha lami. Akiwa katika ukaguzi wa barabara hiyo, Mhandisi Seff ameeleza […]

BURUDANI
October 06, 2023
170 views 6 mins 0

MHE.KAIRUKI ATAJA MAFANIKIO LUKUKI YA RAIS SAMIA KWENYE SEKTA YA UTALII

Serikali imesema inakusudia kukuza utalii wa fukwe, mikutano pamoja na utalii wa kuvinjali kwa meli ikiwa ni mkakati wa kuongeza mazao mapya ya utalii nchini kwa ushirikiano baina ya Tanzania bara na visiwani. Akisoma hotuba kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi rasmi wa Maonesho ya […]

KITAIFA
October 06, 2023
248 views 8 secs 0

TASAF KUONGEZA IDADI YA MIZIGO BANDARINI

Idadi ya mizigo iliyotangazwa bandarini Tanzania iliongezeka kutoka 6000 mwaka 2019/20 hadi 70000 mwaka 2021/22 kwa mujibu wa Wakala wa Meli Tanzania (Tasac) Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TASAC, Nelson Mlali, alisema ongezeko hilo limetokana na jitihada mbalimbali zinazofanywa na wakala huo ikiwa ni pamoja na uanzishaji wa masijala ya wazi ya meli na ukarabati wa […]

KITAIFA
October 05, 2023
169 views 2 mins 0

SERIKALI IMEAHIDI KUWEKA MAZINGIRA MAZURI YA UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA NISHATI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dtk. Doto Biteko amesema kuwa Serikali itahakikisha inaweka mazingira mazuri zaidi ya uwekezaji kwenye Sekta ya Nishati ili kuchochea maendeleo ya uchumi nchini. Waziri Biteko ameyasema hayo, Oktoba 05, 2023 wakati alipokuwa akizindua ripoti ya utafiti wa ushirikiano kwenye sekta ya Nishati kati ya Tanzania na Sweden […]

KITAIFA
October 04, 2023
187 views 52 secs 0

RC CHALAMILA APOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA TOKA SHIRIKA LA DKT INTERNATIONAL

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Oktoba 4, 2023 amepokea vifaa tiba toka Shirika la DKT international ambavyo amevielekeza katika Wilaya ya Kigamboni na Ubungo Jijini Dar es Salaam. Akipokea msaada huo wa vifaa tiba RC Chalamila amelishukuru Shirika hilo kwa kuunga mkono juhudi za Rais Dkt Samia Suluhu Hassan […]

KITAIFA
October 02, 2023
190 views 3 mins 0

NDEGE AINA YA BOING KUWASILI KESHO KWA BASHASHA

Tanzania inatarajia kupokea ndege mpya ya abiria aina ya Boing B 737-9 Max ambayo itapokelewa katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Julias Nyerere Oktoba 3,2023. Mapokezi hayo yataenda sambamba na uzinduzi wa ndege mbili za mafunzo aina ya Cessna 1725 ambazo zitakabidhiwa kwa chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT) Hayo yamesemwa Leo na waziri […]

KITAIFA
September 27, 2023
306 views 2 mins 0

TBA KUJENGA JENGO LA KIBIASHARA NA MAKAZI GEITA

WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) katika mwaka wa fedha 2023/2024 unatajia kujenga jengo la ghorofa la biashara na makazi katika Mkoa wa Geita. Akijibu swali la Mbunge wa jimbo la Geita mjini Mhe. Constantine Kanyasu alipotembelea katika banda hilo katika maonesho ya sita ya teknolojia ya madini yanayaofanyika katika viwanja vya EPZA Bombambili Halmashauri ya […]