UCHAMBUZI
April 08, 2025
32 views 24 secs 0

AFYA YA AKILI NI AFYA “UKIELEMEWA NA MAMBO TAFUTA MSAADA

1. Kupitia nyakati ngumu yaweza kuwa sehemu ya kawaida ya maisha yetu ya kila siku 2. Nyakati ngumu zinaweza kuwa ngumu zaidi kiasi kwamba zikakufanya kulemewa 3. Kulemewa na jambo ni kuwa katika mazingira ambayo mambo yamekuwa magumu, yamefika shingoni, mwanga ulotazamia uone basi ni mwanga hafifu kiasi cha kupoteza nuru 4. Nyakati za kulemewa […]