KITAIFA
December 01, 2023
251 views 19 secs 0

MUFTI WATANZANIA DKT.ABUBAKARI ZUBERI ALLY AMFANYIA DUA MAALUM MAKONDA

Na Madina Mohammed Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizozi pitia makonda kuendelea kupata Baraka zaidi. Mwenezi Makonda amefanya hivyo ikiwa ni muendelezo […]

KITAIFA
November 30, 2023
163 views 44 secs 0

TARURA MNAFANYA KAZI NZURI: WAZIRI BASHUNGWA

Arusha Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA ) kwa kazi nzuri wanazofanya na za utekelezaji wa majukumu yake ya kuzifungua barabara nchini. โ€œTARURA mnaupiga mwingi kwenye Ujenzi wa madaraja na barabara za mawe,mfikishieni salamu zangu Waziri wa OR-TAMISEMI,Mtendaji Mkuu pamoja na watumishi wote wa TARURA. Mhe. […]

KITAIFA
November 27, 2023
269 views 46 secs 0

BARABARA YA KUUNGANISHA WILAYA ZA KONGWA NA MPWAMPWA MBIONI KUWEKWA LAMI

Waziri Ujenzi, Innocent Bashungwa amewahakikishia Wananchi wa Wilaya Mpwapwa kuwa Serikali ipo mbioni kusaini mkataba wa Ujenzi kwa kiwango cha lami Barabara ya Kongwa Jct- Ng’ambi -Mpwapwa yenye kilometa 32. Bashungwa ameeleza hayo kwa njia ya simu wakati alipotakiwa kutoa ufafanuzi na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Taifa – UWT, Mama Mery Chatanda […]

KITAIFA
November 10, 2023
269 views 9 mins 0

MBUNGE WA JIMBO LA ULANGA NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA RUBY INTERNATIONAL LTD AMETOA HAMASA KWA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI

MBUNGE wa Jimbo la Ulanga na Mkurugenzi wa kampuni ya Ruby International limited inayojishughhulisha na uchimbaji pamoja na ununuzi wa madini ya vito (SIPNEL)Tanzania na nje ya nlchi Salim Hasham Amesema wanaendelea kufanya shughuli hizo ikiwa lengo kubwa ni kupata riziki na kusaidia nchi Kwa ajili ya kusapoti kauli mbiu ya Visionย  2030 madini ni […]

KITAIFA
October 10, 2023
156 views 3 mins 0

WAZIRI JAFO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA AFISA MTENDAJI MKUU WA BENKI YA STANDARD CHARTERED

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Standard Chartered, Bw. Herman Kasekende na kujadili fursa za uwekezaji na uwezeshaji wa miradi ya mazingira na uhimilivu wa mabadiliko ya tabianchi hapa nchini. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika katika […]

BURUDANI
October 07, 2023
282 views 2 mins 0

ATE WAHITIMISHA KILELE CHA BONANZA LA AFYA KWA WAAJIRI KWA MWAKA 2023

Leo Jumamosi, tarehe 7 Oktoba 2023, ATE kwa kushirikiana na wadau wa kazi na Ajira, wamehitimisha kilele cha Bonanza la Afya la Waajiri kwa mwaka 2023 lililobeba ujumbe unaosema โ€œKuimarisha Afya ya Akili ili Kuongeza Tija Mahali pa Kazi.โ€ Mgeni Rasmi katika Bonanza hili alikuwa ni Waziri wa Nchi, OWM-KVAU, Mhe. Prof. Joyce Lazaro Ndalichako […]

KITAIFA
July 20, 2023
150 views 41 secs 0

JKCI KUFANYA UPASUAJI WA MKUBWA WA MOYO BILA KUPASUA KIFUA.

Mwaka wa fedha uliopita wa 2022/2023 Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ilitengewa kiasi cha shilingi Bilioni 44.5 fedha ambazo zimetumika kufanya shughuli mbalimbali za utoaji wa huduma ya matibabu ya moyo Pamoja na shughuli za maendeleo.  Katika mwaka huo wa fedha  Taasisi imefanikiwa kuwafanyia wagonjwa upasuaji mkubwa wa moyo wakufungua kifua na kuwabadilishia […]