KIKWETE AHITIMISHA ZIARA YAKE BURKINA FASO KWA TRAORE
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha ziara yake kwa kukutana na Rais wa Burkina Faso, Mhe. Captain Ibrahim Traorรฉ. Mkutano huo ulifanyika jijini Ouagadougou Aprili 17, 2025 na kuhudhuriwa na maafisa waandamizi kutoka Serikali zote mbili. Katika mkutano huo, Mhe. Kikwete alielezea shukrani zake […]