KITAIFA
April 14, 2025
18 views 2 mins 0

GAVANA BWANKU ATOA MADA YA UTAWALA BORA KWENYE SHEREHE YA WIKI YA WAZAZI AMBAYO KIMKOA WA KAGERA IMEFANYIKA KATERERO.

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Awaeleza jinsi Serikali ya Rais Samia inavyoitekeleza kwa vitendo Dhana ya Utawala Bora ili kustawisha Jamii._ Afisa Tarafa (Gavana) wa Tarafa ya Katerero Ndugu Bwanku M Bwanku alikua mmoja wa Watoa mada kwenye Sherehe ya Uzinduzi wa Wiki ya Wazazi kwenye mkoa wa Kagera wakati wa Kongamano kubwa la Maadili lililofanyika […]