KAMATI YA MAANDALIZI AFCON 2027 YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamati ya Taifa ya maandalizi ya fainali za ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2027 imekutana leo Agosti 22, 2024 Jijini Dar Es Salaam kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kupitia na kuridhia mapendekezo ya uundwaji wa kamati ndogo pamoja na Sekretarieti ya Kamati hiyo. Kamati hiyo inayoongozwa na Mhandisi Leodgar Chila […]