BURUDANI
October 07, 2023
282 views 2 mins 0

ATE WAHITIMISHA KILELE CHA BONANZA LA AFYA KWA WAAJIRI KWA MWAKA 2023

Leo Jumamosi, tarehe 7 Oktoba 2023, ATE kwa kushirikiana na wadau wa kazi na Ajira, wamehitimisha kilele cha Bonanza la Afya la Waajiri kwa mwaka 2023 lililobeba ujumbe unaosema “Kuimarisha Afya ya Akili ili Kuongeza Tija Mahali pa Kazi.” Mgeni Rasmi katika Bonanza hili alikuwa ni Waziri wa Nchi, OWM-KVAU, Mhe. Prof. Joyce Lazaro Ndalichako […]

KITAIFA
October 07, 2023
135 views 45 secs 0

MHANDISI SEFF AMTAKA MKANDARASI BARABARA YA KASULU-KABANGA-KASUMO-MUYAMA KUKAMILISHA MRADI KWA WAKATI

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor H. Seff amemwelekeza Mkandarasi ‘Salum Motors Transport Co.Ltd’ kuhakikisha anakamilisha kwa wakati ujenzi wa barabara ya Kasulu- Kabanga-Kasumo-Muyama km 36 ambapo awamu ya kwanza ya km 12.5 inaendelea kujengwa kwa kiwango cha lami. Akiwa katika ukaguzi wa barabara hiyo, Mhandisi Seff ameeleza […]

KITAIFA
October 06, 2023
303 views 23 secs 0

MTENDAJI MKUU TARURA AWATAKA WATUMISHI BUHIGWE KUENDELEA KUFANYA KAZI KWA BIDII

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor H. Seff amekutana na watumishi wa TARURA Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma ambapo amepokea taarifa mbalimbali za kiutendaji na kuwataka kuzingatia uadilifu na kutimiza wajibu. Mhandisi Seff ameyasema hayo alipokuwa kwenye kikao na watumishi wa TARURA wilayani humo kwa lengo la kupata […]

MICHEZO
October 04, 2023
217 views 37 secs 0

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKABIDHI MILIONI 500 TAIFA STARS

Leo Oktoba 4, 2023, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mheshimiwa  Kassim Majaliwa amekabidhi hundi ya Tshs Milioni 500 kwa timu ya taifa ya mpira wa miguu (Taifa Stars) katika uwanja wa Taifa Benjamin Mkapa jijini Dar-es-salaam. Akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu  Hassan katika halfa ya […]

KITAIFA
October 02, 2023
190 views 3 mins 0

NDEGE AINA YA BOING KUWASILI KESHO KWA BASHASHA

Tanzania inatarajia kupokea ndege mpya ya abiria aina ya Boing B 737-9 Max ambayo itapokelewa katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Julias Nyerere Oktoba 3,2023. Mapokezi hayo yataenda sambamba na uzinduzi wa ndege mbili za mafunzo aina ya Cessna 1725 ambazo zitakabidhiwa kwa chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT) Hayo yamesemwa Leo na waziri […]

KITAIFA, MICHEZO
September 28, 2023
221 views 2 mins 0

Hisia za viongozi wa Afrika Mashariki baada ya kukubaliwa kuandaa AFCON 2027

Viongozi wa Afrika Mashariki wamepongeza kutunikiwa hadhi ya kuandaa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), 2027, baada ya ombi la pamoja la Uganda, Tanzania na Kenya kukubaliwa. Itakuwa mara ya kwanza kwa shindano hili kuu la kandanda barani Afrika kuchezwa katika mataifa matatu kwa wakati mmoja, baada ya lile lililofanyika Ghana na Nigeria […]

MICHEZO
September 27, 2023
172 views 35 secs 0

TANZANIA KENYA NA UGANDA YAPEWA DHAMANA KUANDAA MASHINDANO YA AFCON 2027

Nchi za Tanzania, Kenya na Uganda zimepata dhamana ya kuandaa Mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2027). Akiongea mara baada ya kutangazwa matokeo hayo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe, Waziri wa Utamaduni, Sanaa Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema mpambano ulikuwa mkubwa na hatimaye EA Pamoja Bid […]