KITAIFA
February 14, 2024
140 views 3 mins 0

KAMISHNA MABULA AWATAKA MAOFISA WA TAWA KY MARISHA SHUGHULI ZA UTALII ILI KUONGEZA MAPATO SERIKALINI

Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA Mabula Misungwi Nyanda amewataka Maofisa wote wa taasisi hiyo kuweka mikakati madhubuti ya kuongeza idadi ya watalii ili kuongeza mapato Serikalini ikiwa ni pamoja na kuboresha ulinzi na usimamizi wa rasilimali za wanyamapori na malikale. Kamishna Mabula ameyasema hayo leo Februari 10, 2024 […]

MICHEZO
December 30, 2023
151 views 36 secs 0

MHE NDUMBARO: WADAU JITOKEZENI KUISAPOTI STARS AFCON 2023

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro ametoa rai kwa wadau wa Soka nchini kujitokeza kwa wingi katika kuiunga mkono timu ya Taifa ya mpira wa miguu Taifa stars inayojiandaa na Mashindano ya Afcon yatakayofanyika mapema mwezi Januari 2024 Nchini Ivory Coast. Mhe. Ndumbaro amesema hayo leo desemba 30, 2023 Jijini Dar Es […]

KITAIFA
November 09, 2023
160 views 57 secs 0

SERIKAL YATIA UFAFANUZI WA MIFUGO ILIYOKAMATWA SERENGETI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema kuwa suala linalohusisha ng’ombe 806, kondoo 420 na mbuzi 100 waliokamatwa Serengeti na kupigwa mnada baada ya Mahakama ya Musoma kutoa hukumu, limeshahitimishwa kimahakama baada ya taratibu zote kukamilika. Waziri Kairuki ameyasema hayo leo Novemba 9,2023 Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu hoja ya Mbunge wa […]

KITAIFA
October 26, 2023
110 views 3 mins 0

WAZIRI MKUU AZINDUA MASHINE YA KUCHANGANYA VIRUTUBISHO

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amezindua mashine ya kuchanganya virutubisho kwenye vyakula na kuwaomba wadau wote wa maendeleo kuunga mkono juhudi hizo ili kuwezesha mashine hizo kuzalishwa kwa wingi kutumika katika maeneo yote hapa nchini. Mashine iliyozinduliwa inatumika kuongeza virutubisho muhimu katika vyakula hususan unga wa mahindi, virutubisho hivyo ni pamoja na vitamin B na folic […]

KITAIFA
October 17, 2023
208 views 2 mins 0

KAMATI YA BUNGE YASHAURI WIGO ZAIDI FURSA ZA AJIRA ZA WATANZANIA NJE YA NCHI

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeishauri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kupitia Kitengo cha Huduma za Ajira kupanua wigo wa fursa za ajira kwa watanzania nje ya nchi. Akizungumza leo Oktoba 17, 2023 katika kikao cha kamati hiyo cha kupokea na kujadili utendaji kazi […]

KITAIFA
October 09, 2023
142 views 4 mins 0

WAZIRI JAFO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAWAKILISHI WA MASHIRIKA YA KIMATAIFA YANAYOFADHILI MIRADI YA MAZINGIRA TANZANIA

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa yanayofadhili miradi ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika leo Jumatatu (Oktoba 9, 2023) katika Ofisi ndogo za Ofisi Makamu wa Rais […]

KITAIFA
October 08, 2023
136 views 3 mins 0

SH,BILIONI 163 KUTUMIKA KUIUNGANISHA KATAVI KATIKA GRIDI YA TAIFA

Kapinga aonya watakaokwamisha mradi Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Judith Kapinga amesema kuwa, shilingi Bilioni 163 zitatumika kuunganisha Mkoa wa Katavi katika Gridi ya Taifa na hivyo kuwezesha mkoa huo kupata umeme wa uhakika na unaotabirika. Mhe. Kapinga amesema hayo wakati akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi wakati wa ziara Katibu Mkuu wa […]

KITAIFA
October 08, 2023
153 views 2 mins 0

DKT BITEKO AZINDUA MPANGO MKAKATI KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII PANGANI

*Asisitiza Wakuu wa mikoa, Wilaya kuwa wabunifu kutangaza fursa za utaliii* *Awahimiza Watendaji kutimiza wajibu wao kuwahudumia Watanzania* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua mpango mkakati wa kutangaza fursa zilizopo Sekta ya Utalii katika wilaya ya Pangani, mkoani Tanga ili kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano […]