KITAIFA
April 19, 2024
155 views 2 mins 0

TANZANIA MIONGONI MWA WAZALISHAJI MADINI YA KINYWE DUNIANI

Imeshika nafasi ya Kumi kwa uzalishaji wa Kinywe Duniani Unamilikiwa na Mtanzania kwa asilimia 100 Mradi wa Uchimbaji na Uchenjuaji Madini ya Kinywe wa GODMWANGA JEMS LIMITED uliopo katika eneo la Kwamsisi, wilaya ya Handeni Mkoani Tangaย  unatajwa kuwa mradi wa kwanza Barani Afrika kwa uchimbaji na uchenjuaji wa Madini hayo na hivyo kushika nafasi […]

KITAIFA
January 01, 2024
353 views 3 mins 0

DKT BITEKO UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA USITUGAWANYE

Asema Maelekezo ya Rais Dkt. Samia katika salam za Mwaka Mpya yatafanyiwa kazi* Ajumuika na wananchi Bukombe kuukaribisha Mwaka 2024* Atoa salam za Mwaka Mpya 2024* Bukombe – Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka huu nchini, usiwe kigezo cha kugawa […]

MICHEZO
December 30, 2023
204 views 36 secs 0

MHE NDUMBARO: WADAU JITOKEZENI KUISAPOTI STARS AFCON 2023

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro ametoa rai kwa wadau wa Soka nchini kujitokeza kwa wingi katika kuiunga mkono timu ya Taifa ya mpira wa miguu Taifa stars inayojiandaa na Mashindano ya Afcon yatakayofanyika mapema mwezi Januari 2024 Nchini Ivory Coast. Mhe. Ndumbaro amesema hayo leo desemba 30, 2023 Jijini Dar Es […]