MHE. KATAMBI: SERIKALI IMEWEKA MFUMO WA UFUATILIAJI NA TATHMINI YA PROGRAMU ZA VIJANA
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema serikali imeweka mfumo wa ufuatiliaji na tathmini ya miradi na programu za vijana ili kupima matokeo ya utekelezaji sambamba na kuleta tija kwa Taifa. Mhe. Patrobas Katambi ameyasema hayo bungeni 4 Septemba, 2023 alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa […]