DCEA YATEKETEZA EKARI 336 ZA MASHAMBA YA BANGI WILAYA YA KONDOA,DODOMA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya Ikome wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma yakiwa yamechanganywa na mazao mengine halali ili kuficha shughuli hiyo haramu, Aidha, katika operesheni hiyo, […]