KITAIFA
April 18, 2024
164 views 28 secs 0

BANK YA ACB IMEZINDUA RASMI HUDUMA YA KADI YA VISA

Benki ya Akiba (ACB) imezindua rasmi huduma ya kadi za VISA ambazo ni mahususi kwa kufanya huduma za miala ya kifedha  ambapo inauwezo wa kutumika sehemu yoyote Duniani. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo wa ACB VISA, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo ,Silvest Arumasi amesema kwamba Benki ya ACB inafanya maboresho makubwa ya huduma za kifedha […]