Home > Articles posted by Mwanahabari digital (Page 2)
FEATURE
on May 14, 2023
82 views 43 secs

Rais Wazanzibar Dk Hussein Mwinyi amesema ipo haja ya watendaji kuzingatia ndani ya chama kuzingatia vijana wa UVCCM wanaojitolea zinapotokea fursa za ajira. Dk Mwinyi ametoa kauli hiyo jana Gymkana wakati akihitimisha ziara yake ya kutembelea mali za chama hicho na Jumuiya zake katika Mkoa wa Mjini ambapo alisema anajua kilio cha vijana wengi kukosa […]

FEATURE
on May 12, 2023
141 views 56 secs

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bw. Mussa Mohamed Makame, Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri na Uwekezaji wa Mfuko wa Mafuta na Gesi (Portfolio Investment AdvisoryBoard). Aidha, Mheshimiwa Rais amewateua Wajumbe wa Bodi hiyo kamaituatavyo:- Uteuzi huu umeanza tarehe […]

FEATURE
on May 12, 2023
171 views 46 secs

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa (Mb) amesema Wizara inaendelea kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi na kuboresha miundombinu mbalimbali kwenye vikosi vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ikiwemo ukarabati wa makambi na nyumba za makazi kwa maafisa na askari. Bashungwa amesema hayo leo tarehe 12 Mei 2023 wakati […]

FEATURE
on May 12, 2023
122 views 21 secs

Mkurugenzi wa Wanachama wa timu hiyo Haji Mfikirwa anabainisha kuwa Klabu ya Yanga Sc imeingia makubaliano ya ushirika na kampuni ya rangi ya Robbialac kwaajili ya ukarabati wa jengo lao la Makao Makuu yaliyopo mitaa ya Twiga na Jangwani Dar es Salaam.

FEATURE
on May 12, 2023
179 views 2 mins

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema Serikali itagharamia mazishi ya Wanafunzi wawili (2) wa shule ya sekondari  Mpalanga Wilayani Bahi waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea jana majira ya saa 5:00 asubuhi katika Kijiji cha Chidilo  Wilayani humo. Aidha, Mhe. Senyamule ameahidi kuwa, Serikali itagharamia matibabu ya wanafunzi wote majeruhi31 walioumia katika ajali hiyo ambao wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Ajali hiyo imehusisha gari yenye […]

FEATURE
on May 12, 2023
225 views 9 mins

Bernard Kamilius Membe alizaliwa tarehe 9 Novemba, 1953, Rondo, Chiponda, katika Mkoa wa Lindi, akiwa ni mtoto wa pili kati wa watoto saba (7) waliozaliwa katika familia ya Mzee Kamillius Anthony Ntachile na Mama Cecilia John Membe. Bernard Membe ni Mmwera, na kama ilivyo desturi ya Wamwera, watoto hutumia jina la ukoo wa Mama. Hivyo […]

FEATURE
on May 11, 2023
242 views 2 mins

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Serikali ni kumwezesha kila Mtanzania apate kitambulisho cha Taifa akiwa kijijini kwake. Amesema hayo leo (Alhamisi, Mei 11, 2023) bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu.  Mbunge huyo alitaka kujua ni kwa […]