Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 98)
FEATURE
on Apr 23, 2024
201 views 3 mins

*Mkoa wa Tanga umebarikiwa kuwa na aina mbalimbali za madini* *Wafanya biashara waaswa kuzingatia Sheria za Madini* Wito umetolewa kwa Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika fursa zilizopo kwenye Sekta ya Madini mkoani Tanga kutokana na uwepo wa aina mbalimbali za rasilimali madini mkoani humo. Wito huo umetolewa na Afisa Madini Mkazi […]

FEATURE
on Apr 23, 2024
279 views 3 mins

Na Madina Mohammed DODOMA Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Ally Salum Hapi (MNEC) ametembelea na kuona treni mpya ya kisasa ya mwendokasi iliyowasili, Jijini Dodoma jana usiku ikitokea Jijini Dar Es Salaam iliyokuja na viongozi mbalimbali wa dini na serikali, wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania […]

FEATURE
on Apr 22, 2024
217 views 57 secs

Na Madina Mohammed DODOMA MAKAMO wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Philip Mpango amewasisitiza Wananchi na Viongozi mbalimbali waendelee kudumisha amni iliopo katika Taifa la Tanzania ili Muungano uliopo uweze kudumu na kuyaishi maono ya Waasisi katika kudumisha amani na Mshkamano hapa Nchini. Makamo wa Rais Dr Mpango ameyasema hayo katika Siku […]

FEATURE
on Apr 22, 2024
373 views 30 secs

Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya watu wawili, Japhari Mwinyimvua (40) mlinziย  na Richard Nonyo (65) baba mzazi wa mtu anayedaiwa ni mganga wa kienyeji wa eneo hilo. Tukio hilo limetokea Aprili 21, 2024 majiraย  ya saa 3 asubuhi maeneo ya […]

FEATURE
on Apr 22, 2024
254 views 44 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya DCEA imekamata jumla ya kilogram 767.2 za dawa ya kulevya Katika mikoa ya dar es salaam,Pwani na Tanga Hayo ameyasema Leo Tarehe 22 April 2024 Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Aretas Lyimo amesema […]

FEATURE
on Apr 22, 2024
212 views 47 secs

Na Madina Mohammed WAMACHINGA DODOMA

FEATURE
on Apr 22, 2024
255 views 46 secs

*Amehimiza Wafanyakazi kushiriki michezo ili kuimarisha Afya na kuweka Mwili imara dhidi ya Magojwa Yasioambukiza Na; Mwandishi Wetu – Arusha Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe Patrobas Katambi amefungua rasmi michezo ya Mei Mosi na kueleza umuhimu wa michezo hiyo katika kuimarisha afya za wafanyakazi. “Michezo ni […]

FEATURE
on Apr 22, 2024
166 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu โ€“ Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuyapa kipaumbele masuala ya maendeleo ya vijana nchini. Aidha, Mhe. Katambi amesema vijana ni nguvu kazi ya taifa, […]

FEATURE
on Apr 21, 2024
236 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaaga viongozi wa dini 104 ambao wanaelekea Dodoma kwa treni ya mwendokasi (SGR) kwenda kushiriki ibada maalum ya kuliombea Taifa inayotarajiwa kufanyika kesho, Jumatatu,ย  Aprili 22, 2024. Treni hiyo imeondoka stesheni ya Dar es Salaam saa 8.53 mchana ikiwa na viongozi hao, waandishi wa habari, […]

FEATURE
on Apr 21, 2024
405 views 5 mins

Na Madina Mohammed WAMACHINGA DAR ES SALAAM Ni za TBC Taifa, azuru studio za Bongo FM- redio ya vijana Afunga tamasha la kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua studio za kidijiti za redio ikiwa ni sehemu ya mradi wa maboresho ya studio za redio, televisheni na mitandao ya kijamii za […]