Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 97)
FEATURE
on Apr 24, 2024
170 views 3 mins

GST kujenga Maabara ya Kisasa jijini Dodoma* GST ni Moyo wa Sekta ya Madini Kufanya Utafiti wa kina kufikia asilimia 50 Na Madina Mohammed DODOMA WAMACHINGA Waziri wa Madini Mhe.Anthony Mavunde amewataka Watumishi wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kuchapa kazi kwa bidii  ili kutimiza Vision 2030 ambayo ndana yake kubwa […]

FEATURE
on Apr 24, 2024
282 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA PWANI Watuhumiwa watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha Mkoani Pwani jana tarehe 22 Aprili, 2024  wakikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Methemphetamine Kilogramu 424.84 pamoja na Heroin Hydrochloride gramu 158.24 kinyume cha kifungu cha 15 (1) (a) na cha (3) (i) cha Sheria ya Kudhibiti na […]

FEATURE
on Apr 24, 2024
322 views 2 mins

📌 Majiko banifu kusambazwa Kaya za Vijiji na Vijiji-Miji 📌  Wazalishaji wa mkaa mbadala kupewa ruzuku Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa katika mwaka 2024/25 Serikali itaendelea kutekeleza hatua madhubuti za kuimarisha matumizi ya Nishati Safi ya kupikia nchini. Amesema hayo leo Aprili 24, 2024 bungeni jijini Dodoma […]

FEATURE
on Apr 24, 2024
226 views 7 secs

Serikali imesema hadi kufikia mwezi Machi 2024 jumla ya vijiji 11,837 sawa na asilimia 96.37 ya vijiji vyote 12,318 vya Tanzania Bara vilikuwa vimeunganishiwa huduma ya umeme.  Hayo yamesema na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko Bungeni jijini Dodoma wakati akisoma hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa […]

FEATURE
on Apr 24, 2024
334 views 43 secs

Serikali imesema imeanza uzalishaji wa umeme kupitia mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maji wa Julius Nyerere (JNHPP) wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115, ambapo  uzalishaji huo umeanza kwa Megawati 235 kupitia mtambo namba tisa.  Hayo yamesema na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko Bungeni jijini Dodoma wakati akisoma hotuba ya […]

FEATURE
on Apr 24, 2024
211 views 3 mins

Awataka wadau kuzingatia matakwa ya Sheria wamiliki wa akaunti za uombaji na usimamizi wa leseni kwa njia ya mtandao ambao sio waaminifiu kusitishiwa akaunti zao Zoezi la ufutaji wa maombi na Leseni kuwa endelevu Amtaka kila mmoja kufuatilia hadhi ya maombi au Leseni zake Waziri wa Madini, *Mheshimiwa Anthony Mavunde* amebainisha kwamba Serikali kupitia Tume […]

FEATURE
on Apr 24, 2024
179 views 28 secs

Na Mwandishi Wetu DODOMA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto  Biteko (Mb), leo Aprili 24, 2024 anawasilisha bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 katika Mkutano wa Kumi na Tano Kikao cha Kumi na Tatu. Wakati wa wasilisho hilo viongozi na wageni mbalimbali […]

FEATURE
on Apr 23, 2024
178 views 26 secs

-Awatoa hofu wananchi kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 23, 2024 ametembelea na kukagua maeneo yaliyoathirika na mvua katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Akiwa katika ziara hiyo RC Chalamila amekagua miundombinu mbalimbali ikiwemo daraja la kibada ambapo TANROAD wanaendelea na matengenezo […]

FEATURE
on Apr 23, 2024
172 views 2 mins

Shilingi Bilioni 109.8 zatumika mwaka 2023/2024* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe, Judith Kapinga amesema kuwa, Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) itaendelea kuongeza bajeti kila mwaka ya matengenezo ya miundombinu ya umeme hadi changamoto ya kukatika umeme kutokana na uchakavu wa miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme itakapoisha kabisa. Naibu Waziri Kapinga ameeleza hayo […]

FEATURE
on Apr 23, 2024
292 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa ya uongo na uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha Robart Mushi @ Babu G. ambaye picha yake imeambatanishwa kwenye taarifa hizo kuwa alipotea tarehe 11 Aprili, 2024 na baadae kugundulika katika Chumba cha kuhifadhi […]