Zikiwa zimebaki siku 5 kuelekea kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo Bungeni kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wakulima nchini, tumekuandalia makala fupi uweze kufahamu faida za matumizi ya mbegu na miche bora katika kilimo cha kisasa na chenye tija 1. Matumizi ya Mbegu na Miche bora husaidia mazao kustahimili […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa kazi kubwa waliyoifanya kuwaletea maendeleo wanawake na kukiimarisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na kuandaa mdahalo wa wanawake na Muungano. Pia, ameupongeza umoja huo kwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024 imenunua leseni za kudumu 143 ili kuwezesha vifaa vya kupima afya ya udongo (soil scanner) kufanya kazi iliyokusudiwa. Aidha, hadi kufikia tarehe 24 Aprili, 2024 jumla ya sampuli 14449 katika mashamba yenye ukubwa wa ekari […]
Wizara ya Kilimo kupitia Bajeti yake ya mwaka 2023/2024 imenunua Vishkwambi 4446, kati ya hivyo vishkwambi 946 vimesambazwa na usambazaji unaendelea kwa ajili ya usajili wa wakulima, kukusanya taarifa, kuchukua alama ya nukta katika mashamba ya wakulima na utoaji huduma za ugani kwa njia ya kidijiti na kuwawezesha maafisa ugani katika ngazi ya kata kukusanya […]
Na Mwandishi Wetu DODOMA 95.28% kuelekezwa kwenye maendeleo* Serikali kuja na Kanuni ya Uwajibikaji kwa wananchi Miradi ya Mafuta na Gesi Asilia* Dkt. Biteko aagiza Halmashauri kupeleka fedha za Ushuru wa Huduma vijijini* Masharti ufunguzi wa vituo vya CNG yarekebishwa kuvutia uwekezaji* Kapinga atilia mkazo utekelezaji Nishati Safi ya Kupikia na CNG* Bunge la Jamhuri […]
MAAFISA UGKupitia Bajeti ya kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024, Wizara ya Kilimo imefanikisha ununuzi na usambazaji wa visanduku vya ugani 1000 kwa maafisa ugani Kilimo 1000 katika mikoa ya Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Ruvuma, Rukwa na Katavi, sawa na asilimia 25 ya lengo. Kwa upande mwingine, tayari magari 46 na Pikipiki 550 kwaajili ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Tamasha kubwa kufanyika April, 25, 2024 katika viwanja vya Tanganyika Peckers Kinondoni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April, 24, 2024 akizungumza na vyombo vya habari Ofisini kwake amesema Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inafikisha miaka 60 ifikapo ijumaa April 26 mwaka huu, […]
-Akuta Madaktari waliopo kwenye mafunzo (internship doctors) katika maeneo mengi aliyotembelea -Ajionea Daftari la msamaha (exemption) lililopo Mwananyamala kuwa na mapungufu -Aahidi kufanya ziara Kama hizo Mara kwa Mara katika Hospitali hizo -Asisitiza Kuwachukulia hatua wazembe wote -Wagonjwa waelezea kuridhishwa na huduma -Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Mkoa akiri kupokea maelekezo na kuahidi kuyafanyia […]
Na Beatus Maganja Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA leo Aprili 24, 2024 imepokea meli ya watalii wapatao 230 kutoka Mataifa mbalimbali Duniani waliofika katika Hifadhi ya Urithi wa utamaduni wa Dunia ya Magofu ya Kilwa kisiwani na Songo Mnara kwa ajili ya shughuli za utalii. Meli ijulikanayo kwa jina la “Silver Clouds” […]
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Jiolojia ya Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Prof. Justinian Ikingura amekiongoza Kikao cha kawaida cha 18 cha Bodi hiyo kwa ajili ya kupitia taarifa ya utekelezaji wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2023/24. Bodi hiyo imefanya Kikao hicho leo Aprili 24, 2024 […]