Na Mwandishi wetu; Kuelekea Mei 2 & Mei 3, 2024 tarehe za Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 kusomwa na kujadiliwa Bungeni Dodoma, tumekuandalia makala fupi itakayoangazia faida atakazopata mkulima kwa kufanya kilimo kwa kutumia zana bora za Kilimo na Teknolojia ya kisasa; 1. Kutumia zana za kilimo katika uzalishaji wa […]
Na Mwandishi wetu; Kuelekea Mei 2 & Mei 3, 2024 tarehe za Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 kusomwa na kujadiliwa Bungeni Dodoma, tumekuandalia makala fupi itakayoangazia faida atakazopata mkulima kwa kufanya kilimo kwa kutumia zana bora za Kilimo na Teknolojia ya kisasa; 1. Kutumia zana za kilimo katika uzalishaji wa […]
Azitaka Wizara za Elimu, Fedha, Uwekezaji, Ardhi na TAMISEMI kukutana na Wadau wa Elimu* Shule Binafsi zizingatie maadili ya Mtanzania na Miongozo Iliyowekwa* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na sekta binafsi hususan shule binafsi ili kuboresha sekta ya elimu nchini. Akizungumza katika Mkutano Mkuu […]
NGARA Upo umuhimu mkubwa kwa wananchi kuzitunza barabara pamoja na alama za barabarani ili kuzifanya barabara kuwa salama kwa watumiaji wakati wote, imeelezwa. Hayo yamebainishwa na Meneja wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilayani Ngara Mkoani Kagera Mhandisi Makoro Magori wakati akielezea mafanikio ya miaka mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Msanii mkongwe nchini, Afande Sele, akiwa Kilindi mkoani Tanga kwenye shamba la miche ameipongeza wizara ya kilimo chini ya Mhe. Hussein Bashe kwa maendeleo makubwa kwenye sekta ya kilimo nchini na kwa kujitoa kimasomaso kuwafikia wakulima moja kwa moja Afande Sele amesema kuwa ndani ya miaka mitatu ya Rais Samia, Taifa […]
Na Mwandishi Wetu Mkulima Silvester Thomas Kayombo kutoka Mbeya anayejihusisha na Kilimo cha parachichi aishukuru wizara ya Kilimo kwa kulifanya zao la parachichi kuwa zao la kimkakati na kuwapelekea wataalamu (maafisa ugani) wanaowasaidia kupata tunda hilo kwa uhakika. Kayombo ameeleza namna serikali kupitia Wizara ya Kilimo inavyowasaidia kufanya kilimo cha kisasa kwa kuwapelekea wataalamu pamoja […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MOROGORO Mkulima mmoja kutoka Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro anayefahamika kwa jina la Raha Aloyce ameipongeza na kuishukuru wizara ya Kilimo kwa jitihada endelevu katika kuhamasisha wakulima kutumia Mbegu na miche bora ili kuweza kunufaika zaidi na shughuli za kilimo wanazofanya Katika maelezo yake, Raha ameeleza kuwa matumizi ya mbegu na […]
Zikiwa zimesalia siku 5 kuelekea kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo, tumekuletea nukuu 3 za Rais Samia alipozungumza katika majukwaa tofauti juu ya umuhimu wa Tanzania kujitosheleza katika uzalishaji wa Mbegu na Miche bora 1. “Serikali imeviboresha vituo vya utafiti na mashamba ya uzalishaji mbegu kutokana na kujiingiza kwenye masuala ya uzalishaji mbegu za […]