DODOMA Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na wadau kwenye sekta ya kilimo kuanzia kesho Aprili 30, 2024 wataonesha shughuli mbalimbali za kiteknolojia zinazotumika katika sekta husika kwenye kuendeleza kilimo nchini Maonesho hayo yenye Kauli Mbiu ya “from Lab to Farm 2024” yanalenga kuonesha namna matumizi ya teknolojia yanavyochagiza maendeleo ya kilimo ambapo wadau mbalimbali wa […]
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe Kingโombe na Mkuu wa Kivuko cha Magogoni – Kigamboni, Idd Stamili Juma kwenye nafasi zao na kuagiza kupangiwa kazi nyingine kwa kushindwa kusimamia kikamilifu huduma bora kwa wananchi wanaotumia usafiri wa […]
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge. Maonesho hayo yenye Kauli Mbiu ya “from Lab to Farm 2024” yanalenga kuonesha namna matumizi ya teknolojia yanavyochagiza maendeleo ya kilimo ambapo wadau mbalimbali wa kilimo […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada – Mwasonga – Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa kiwango cha lami. Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuongezwa kwa ujenzi wa […]
Wizara ya Kilimo imekuwa na mkakati wa kutoa mafunzo kuhusu Mfumo wa Crop Stocks Dynamics System (CSDS) kwa watalaamu wa kilimo katika ngazi ya Halmashauri na Sekretarieti za Mikoa ili kuimarisha usalama wa chakula na upatikanaji wa masoko nchini. Huu ni mfumo wa kidigitali wa kusajili ghala, masoko, vituo vya ukaguzi wa mazao na wafanyabiashara […]
Wizara ya Kilimo imeendelea na mikakati kabambe ya uwekezaji kwenye miundombinu ya uhifadhi wa mazao ili kuhakikisha nafaka na mazao mbalimbali yanakidhi vigezo vya ubora katika soko na yanakidhi vigezo vya ubora vya Kimataifa. Uimarishaji wa miundombinu hii inasaidia kuhakikishia nchi Usalama wa Chakula na kudhibiti magonjwa kama Sumukuvu kwani miundombinu hii huwezesha nafaka kuhifadhiwa […]
DODOMA Kuelekea Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 itakayosomwa Bungeni jijini Dodoma, Mei 2 na Mei 3, 2024, Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kilimo zilizo chini yake wameandaa maonyesho maalumu yatakayowezesha wananchi mbalimbali wakiwemo waheshimiwa Wabunge kuweza kufahamu huduma mbalimbali zinazotolewa na Wizara hiyo kupitia taasisi zake. […]
WAZIRI BASHUNGWA AKAGUA UREJESHAJI WA MAWASILIANO YA BARABARA MKURANGA, AELEZA MIKAKATI YA SERIKALI.
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA PWANI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kuhakikisha inarejesha mawasiliano ya barabara zote na madaraja yanayoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha ndani ya muda mfupi pindi yanapoharibiwa. Aidha, Bashungwa amewaelekeza Mameneja wa TANROADS Mikoa yote kuendelea kufanya ukaguzi wa madaraja na makalvati pamoja na […]
Zikiwa zimebaki siku 3 kuelekea kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara ya Kilimo imeeleza umuhimu wa utafiti katika kufanya kilimo cha kisasa, chenye tija na manufaa makubwa kwa wakulima Wizara hiyo imeweka bayana kuwa utafiti umeendelea kuwezesha upatikani wa mbegu Bora za mazao zenye sifa za kustahimili mabadiliko […]
Zikiwa zimebaki siku 3 kuelekea kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara ya Kilimo imeeleza umuhimu wa utafiti katika kufanya kilimo cha kisasa, chenye tija na manufaa makubwa kwa wakulima Wizara hiyo imeweka bayana kuwa utafiti umeendelea kuwezesha upatikani wa mbegu Bora za mazao zenye sifa za kustahimili mabadiliko […]