JIJINI DODOMA Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) akiwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka 2024/2025 amesema kuwa uzalishaji wa chakula kwa msimu wa kilimo wa 2022/2023 ulitosheleza mahitaji ya chakula ya tani 16,390,404 kwa mwaka 2023/2024 na kuwepo kwa ziada ya tani 4,011,611. Amesema […]
“Sekta ya Kilimo katika mwaka 2023 ilikua kwa asilimia 4.2 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 3.3 mwaka 2022. Vilevile, Sekta ya Kilimo imechangia asilimia 26.5 katika Pato la Taifa ikilinganishwa na asilimia 26.2 mwaka 2022, imetoa ajira kwa wananchi kwa wastani wa asilimia 65.6 na kuchangia asilimia 65 ya malighafi za viwanda.” Mhe. Hussein Bashe […]
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw.Gerald Mweli amesisitizia suala la Uwajibikaji wenye tija katika utekelezaji wa majukumu kwa Taasisi, Sekta Binafsi na Idara za Wizara ya Kilimo katika kuwahudumia wakulima na wanufaika katika mnyororo wa thamani kwenye kilimo. Mweli ametoa rai hiyo wakati alipotembelea Maonesho ya Kilimo yanayoendelea katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. […]
*Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani GST yatoa Mshindi* Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi Duniani kote wameungana kwa pamoja kusheherekea Siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo leo Mei 01,2024 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewafurahisha watumishi wa Umma kwa kuonesha nia ya Serikali ya kuendelea kuwapandisha madaraja, kuendelea […]
Chama Cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) leo April 30, 2024 wametembelea Makuyuni Wildlife Park iliyopo wilaya ya Monduli katika mkoa wa Arusha kwa lengo la kujifunza Uhifadhi wa wanyamapori na kujionea shughuli za Utalii. Ziara hii ya mafunzo imefanyika ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa _”Tuhifadhi Maliasili”_ unaoratibiwa na Chama […]
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kinondoni (OCD), Mohamed Senkondo, kumshikilia Meneja Mradi wa Kampuni ya China Railway Seventh Group (CRSG), anayetekeleza ujenzi Daraja la Mpiji Chini (mita 140) pamoja na barabara unganishi (km 2.3), ahojiwe ili kuanza kuchukuliwa hatua kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa daraja hilo na barabara unganishi. […]
Hii ndio hali halisi ya maandamano yaliyogonga mwamba baada ya wananchi wa Moshi kususia wito wa chama cha Demokrasia na Maendeleo, kadhia hii imepelekea aliyekuwa mgeni rasmi Ndugu Freeman Mbowe kutoshuka ndani ya gari kwa hasira akilaumu uongozi wa Mkoa kwa kushindwa kushawishi watu wengi. Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinapitia wakati mgumu katika mikutano […]
Waziri wa Kilimo, Mhe. Husein Bashe amezitaka Taasisi na Kampuni binafsi zinazojihusisha na kilimo kujikita zaidi katika ubunifu na matumizi ya Teknolojia ili kuongeza tija na ufanisi kwenye sekta hiyo. Waziri Bashe ametoa ushauri huo leo April 30, 2024 wakati alipotembelea kukagua mabanda ya wadau mbalimbali wa kilimo wanaoshiriki maonesho ya kilimo ya siku tano […]
Waziri wa Kilimo, Mhe. Husein Bashe amezitaka Taasisi na Kampuni binafsi zinazojihusisha na kilimo kujikita zaidi katika ubunifu na matumizi ya Teknolojia ili kuongeza tija na ufanisi kwenye sekta hiyo. Waziri Bashe ametoa ushauri huo leo April 30, 2024 wakati alipotembelea kukagua mabanda ya wadau mbalimbali wa kilimo wanaoshiriki maonesho ya kilimo ya siku tano […]
Na Mwandishi Wetu Katika kuhakikisha sekta ya kilimo inazidi kukua, serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia imeongeza bajeti ya sekta ya umwagiliaji kutoka shilingi bilioni 46.5 mwaka 2021/22 hadi shilingi bilioni 373.5 kwa mwaka 2023/2024 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umwagiliaji ili kuongeza tija kwa wakulima. Waziri […]