Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha matumizi ya ya Shilingi trilioni 1.24 kwa ajili ya Wizara ya Kilimo katika mwaka 2024/2025 kwa ajili ya utekelezaji wa mipango mbalimbali iliyoainishwa ili kuendelea kukuza Sekta ya Kilimo nchini. Kwa mujibu wa Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema Wizara imeongeza kipaumbele kimoja na hivyo […]
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 3, 2024 amekutana na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Taasisi ya Huduma za Aga Khan, Mwana wa Mfalme Bi. Zahra Aga Khan na ujumbe wake, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Mheshimiwa Waziri Mkuu amemwambia Kiongozi huyo kuwa Serikali inatambua jitihada kubwa zinazofanywa na Taasisi hiyo hasa katika […]
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe alipata nafasi ya kupita katika maonesho ya Kilimo yanayoendelea katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma baada ya kuwasilisha Bajeti ya Kilimo, jana Mei 02, 2024. Maonyesho hayo yenye kauli mbiu ya ‘FROM LAB TO FARM 2024’ yamelenga kuonesha jinsi ubunifu na teknolojia za kisasa zinavyoweza kuchochea maendeleo kwenye Sekta […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA KAMPUNI ya Azam Media LTD kupitia Chaneli 103 ya Sinema Zetu imetambulisha tamthilia mbili mpya Mawio na Koneksheni ambazo zitaanza kuonekana hivi karibuni. Akizungumza leo Mei 2, 2024 jijini Dra es Salaam kwenye hafla ya kutambulisha tamthilia hizo, Msimamizi Mkuu wa Chaneli ya Sinema Zetu Sophia Mgaza, amesema […]
Azindua Kituo cha Matibabu ya Saratani cha Aga Khan* Ataka utoaji huduma usiwe wa kibaguzi* Aelekeza Aga Khan kushirikiana na Taasisi ya Ocean Road kutoa huduma za mionzi* Dkt. Samia atoa sh. Bilioni 10 kusomesha Madaktari Bingwa na Wabobezi wa Saratani* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kumekuwa na Changamoto ya mfumo wa maisha Katika jamii watu wengi huwa wana matumizi ya madawa ya kulevya na wengine kuwa na msongo wa mawazo pamoja na kuongezeka kwa vitendo vya unyanyasaji na Unyanyapaaji kwa watu mbalimbali kumechangia kuongezeka kwa matatizo ya Afya ya Akili hasa kwa Vijana. […]
JIJINI DODOMA Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) akiwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka 2024/2025, amesema wizara yake itaendelea kuwezesha upatikanaji wa ajira zenye staha na ushiriki wa vijana na wanawake kwenye kilimo kupitia utekelezaji wa Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (Building a […]
JIJINI DODOMA Imeelezwa kuwa uzalishaji wa mazao asilia katika mwaka 2023/2024 umeongezeka kutoka tani 1,123,477.92 mwaka 2022/2023 hadi tani 1,260,321.1 sawa na asilimia 78.05 ya lengo la kuzalisha tani 1,614,758. Hayo yamesemwa na Mhe. Hussein Bashe wakati wa uwasilishaji wa Bajeti ya Wizara ya Kilimo leo Tarehe 02.05/2024 Jijini Dodoma ambapo amesema ongezeko hilo limechangiwa […]
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amewasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka 2024/2025 ambapo katika hotuba yake amesema katika mwaka ujao wa fedha, Wizara itaendelea kutekeleza vipaumbele vitano (5) vya mwaka 2023/2024 kwa kukamilisha miradi iliyoanza mwaka 2022/2023, 2023/2024 na kuanza miradi mipya. Waziri Bashe amesema […]
“Sekta ya kilimo katika mwaka 2023 imekua kwa asilimia 4.2 kutoka asilimia 2.7 ya mwaka 2021 na imechangia asilimia 26.5 katika pato la Taifa ikilinganishwa na asilimia 26.2 mwaka 2022, vilevile imetoa ajira asilimia 65.6 imechangia asilimia 65 ya malighafi ya viwanda na kuendelea kuchangia asilimia 100 ya upatikanaji wa chakula,” – @HusseinBashe Waziri wa […]