MTWARA Magari ya Mizigo, Mabasi na magari mengine madogo yaliyokwama kwa siku sita katika barabara ya Lindi-Dar es Salaam eneo la njia nne (Mikerengโende) hadi Somanga yakitokea Lindi kuelekea Dar es Salaam yaanza kuruhusiwa kuendelea na safari. Hatua hiyo imechukuliwa leo asubuhi, tarehe 09 Mei, 2024 Mkoani Lindi mara baada ya kukamilisha urejeshaji wa mawasiliano […]
JIJINI DAR ES SALAAM Wanafunzi wa elimu ya juu wameipongeza Serikali ya awamu ya sita kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mabadiliko makubwa waliyofanya kwenye sekta ya elimu huku wakitoa wito kwa wanafunzi wanaopata ufadhili Samia Skolashipu kusoma kwa bidii ili waweze kusaidia jamii katika siku zijazo. Rai hiyo imetolewa na mwananfunzi kutoka […]
JIJINI DODOMA Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania laidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 1.97 zilizoombwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa ajili ya kutekeleza vipaumbele vitano vya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 ili kuleta mageuzi ya Elimu nchini. Vipaumbele hivyo ni pamoja na; (i)Kuendelea na utekelezaji wa sera na mitaala, […]
JIJINI DODOMA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Carolyne Nombo wakijadiliana jambo na Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Mhe. Shaban Hamis Taletale katika viwanja vya Bunge leo Mei 08, 2024 Prof. […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema hatasita kubadilisha timu ya Wataalam na Mkandarasi wanaoendelea na kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara ya Dar es salaam- Lindi katika eneo la Nangurukuru kutokana na kasi ndogo ya kazi na usimamizi. Bashungwa ameonesha hali hiyo ya kutoridhishwa na usimamizi na kasi ya urejeshaji wa […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Benki ya Mandeleo Leo imesaini mkataba wa makubaliano ya pamoja Kati yake na shirikisho la umoja wa wamachinga wa Kariakoo (KAWASSO) utakaowawezesha wafanyabiashara hao kupata viwanja vya makazi sambamba na kupata mikopo kwa ajili ya Kujengea nyumba unaojulikana kama ‘Machinga Plot Finance’. Akizungumza na waandishi wa habari Leo […]
JIJINI DODOMA Waziri wa Elimu, Prof Adolf Mkenda amesema Serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya vyuo vya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi pamoja na sekondari za amali ili kuongeza fursa za mafunzo kwa kuwezesha ujenzi wa shule mpya za sekondari za amali 100 ambapo kati ya hizo shule 26 zitaanza kupokea wanafunzi kuanzia Januari 2025. […]
JIJINI DODOMA Katika kuimarisha miundombinu ya kufundishia na kujifunzia katika shule za msingi na sekondari, Serikali kupitiaWizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanikiwa kuwezesha ujenzi wa shule mpya za sekondari ngazi ya kata 228 na 26 za Sayansi za wasichana za bweni za mikoa. Hayo yamebainishwa leo Jumanne Mei 07, 2024 na Waziri wa Elimu, […]
JIJINI DODOMA Adolf Mkenda alivyowasili Bungeni jijini Dodoma tayari kuwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Bajeti ya Wizara ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 ina kauli mbiu inayosema ‘Elimu ujuzi ndio mwelekeo’ ikiwa na maana msisitizo na mkazo katika mitaala yetu utajikita zaidi katika kuhakikisha wahitimu wanakuwa ujuzi utakaowawezesha kujiajiri […]
JIJINI DODOMA โVipaumbele vya Wizara Elimu kwa mwaka wa fedha 2024/25 ni kama vifuatavyo: Kuendelea na utekelezaji wa sera na mitaala, mapitio ya sheria na kuandaa miongozo ya utoaji elimu na mafunzo nchini Kuongeza fursa na kuimarisha ubora wa elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi (amali na amali sanifu); Kuongeza fursa na kuimarisha […]