Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 89)
FEATURE
on May 14, 2024
253 views 0 secs

Meya mstaafu wa kata ya Ubungo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amesema katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Nchi nzima hivi karibuni wamejiandaa kushinda mitaa 48 ya jimbo la ubungo. Boniface afunguka hayo wakati akikabidhi mifuko ya simenti na vifaa vingine vya ujenzi wa ofisi ya Chama katika kata […]

FEATURE
on May 13, 2024
268 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Meridianbet inayoongoza kubashiri leo wazindua promosheni mpya ya “Toboa kibingwa” kwa kushirikiana na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Money huku lengo kuwapa thamani wateja wao ambapo washindi wawili katika promosheni hiyo watapewa bajaji mpya. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mapema leo hii Meneja Mwandamizi […]

FEATURE
on May 13, 2024
230 views 37 secs

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo *Mei 13, 2024* amekabidhi Mwenge wa Uhuru 2024 Mkoa wa kusini Pemba-Zanzibar Mwenge wa Uhuru katika Mkoa wa Dar es Salaam ulipokelewa *Mei 8, 2024* ukitokea Mkoa wa Pwani ambapo Mkoa wa Dar es Salaam umekimbiza Mwenge wa Uhuru katika umbali wa *KM 427.78* […]

FEATURE
on May 13, 2024
351 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MARA Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa  (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuliwezesha Jeshi hilo kutekeleza majukumu yake. Meja Jenerali Mabele ameyasema hayo wakati akihitimisha zoezi […]

FEATURE
on May 13, 2024
152 views 3 mins

Waipongeza TAWA kwa ushirikishaji Na. Beatus Maganja Kufuatia changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu nchini, wananchi wa  Mikoa ya Kanda ya Ziwa hususani Shinyanga na Mwanza  wamekubali na kuahidi kushirikiana na Serikali kukabiliana changamoto hiyo ili kupunguza adha kwa wananchi hasa wale wanaoishi pembezoni mwa hifadhi. Wakizungumza na waandishi wa habari katika ziara iliyofanywa na […]

FEATURE
on May 10, 2024
212 views 21 secs

Na Mwandishi wetu. Mkurugenzi Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Brigedia Jenerali Hosea Ndagala tarehe  9 Mei, 2024  amefanya ziara ya kutembelea Wilaya ya Kigamboni kata ya Mjimwema Mtaa wa Maweni kwa lengo la kuangalia madhara yaliyotokea  kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha Jijini Dar es Salaam. Awali akiwa […]

FEATURE
on May 10, 2024
188 views 2 mins

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameukutanisha Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na Kampuni ya M/S Azam Marine kujadili namna ya kuendelea kushirikiana kwa pamoja kuboresha utoaji wa huduma za usafiri wa vivuko katika eneo la Magogoni – Kigamboni jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kimefanyika Mei 10, 2024 jijini Dar es Salaam kwa kuwakutanisha […]

FEATURE
on May 10, 2024
196 views 3 mins

Na WAF – Dodoma  Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amepiga marufuku kwa watendaji wa Wizara ya Afya na wadau wake kutowauziaWajawazito vitabu vya kliniki huku akimuagiza Katibu Mkuu kuhakikisha vitabu vinapatikana muda wote. Waziri Ummy amesema hayo Mei 10, 2024 jijini Dodoma katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma wakati hafla ya kuzindua […]

FEATURE
on May 10, 2024
567 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA TANZANIA Commercial Bank BANK (TCB) imefanya mapinduzi yanayolenga Vikundi vya kuweka na kukopa yaani Vikoba ili kumwezesha wafanyabiashara wadogo wadogo kukopa Kidijitali ndani ya Kikoba kidigitali. Akizungumza wakati wa uzinduzi, huo leo Mei 09, 2024, jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa TCB Benki, Adamu Mihayo amesema kuwa […]

FEATURE
on May 9, 2024
237 views 2 mins

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe Bw. Joshua Bituri Manumbu ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA kwa jitihada endelevu za kuelimisha jamii namna ya kuepuka madhara yanayoweza kusababishwa na wanyamapori wakali na waharibifu hususani mamba na viboko na kuwadhibiti pale wanapoonekana kuhatarisha maisha ya wananchi. Pongezi hizo zimetolewa Mei 08, 2024 […]