Na Mwandishi Wetu Beijing Kampuni ya Touchroad Holding Group ya nchini China inayojihusisha na kuziunganisha nchi za Afrika na fursa mbalimbali zilizoko nchini China hasa utalii, biashara na uwekezaji itazindua safari za ndege kati ya Tanzania na China kuanzia mwezi Juni mwaka huu. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) […]
-Akagua barabara ya kibada Mwasonga, -Atembelea Kiwanda cha Nyati Cement. -Afanya Mkutano wa hadhara eneo la Kijaka-Kimbiji Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Mei 15, 2024 amefanya ziara ya kimkakati Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam. RC Chalamila alianza ziara yake kwa kukagua miundombinu ya TANROAD hususani barabara ya […]
– Filamu ya ” Amazing Tanzania ” yazinduliwa China Na Mwandishi Wetu – Beijing Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeadhimisha Miaka 60 ya Kidiplomasia kati yake na China sambamba na uzinduzi wa mwaka wa Utalii na Utamaduni ulioambatana na uzinduzi rasmi wa filamu ya “Amazing Tanzania” Mei 15, 2024 jijini Beijing China. Akizungumza […]
Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM———————————————Mapema leo, Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimetia Saini Hati ya Mashirikiano (Memorandum of Understanding) baina yake na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) yatakayoziwezesha Taasisihizo mbili kushirikiana katika mambo mbalimbali hususan suala la utoaji elimu ya usalama na afya kwa wanachama wa […]
Na Beatus Maganja Mkazi wa Kijiji cha Kasenyi kilichopo wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza Bw. Obeid Francis (44) amenusurika kuliwa na mnyamapori aina ya mamba baada ya kuikumbuka na kuitumia elimu ya kuepuka madhara yanayoweza kusababishwa na wanyamapori wakali na waharibifu inayoendelea kutolewa na Maofisa wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA maeneo […]
Na. Jeshi la Polisi, Dar es Salaam. KAMISHNA wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali watu, CP. Suzan Kaganda Mei 13, 2024, Jijini Dar es Salaam, amefungua mafunzo ya siku mbili ya namna ya uwasilishaji wa nyaraka za mafao kupitia mfumo wa TEHAMA kwa Maafisa Wanadhimu Makao Makuu, Mikoa na Vikosi pamoja na Wasimamizi na Watendaji […]
Rais Samia atunukiwa tuzo kwa mchango wake Sekta ya Afya NIMR yapongezwa kwa ushawishi wa utafiti kimataifa Serikali yatoa kipaumbele tafiti za kisayansi Vituo vya utafiti vyaaswa kushirikiana kuboresha utafiti Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali inatambua […]