Tanzania na China zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja kwa kuyawezesha Makampuni ya Tanzania kupewa sehemu ya kazi za ujenzi kutoka kwa Makampuni ya Kichina yatakayopewa kazi ya kutekeleza miradi ya ujenzi nchini. Makubaliano hayo yamefikiwa leo Mei 20, 2024 jijini Dar es Salaam wakati […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia COSTECH Dr AMOS NUNGU amesema Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi ya kukuza bunifu za kisayansi na teknolojia kwa vijana hivyo kuwahimiza vijana kuendelea kuwasilisha bunifu zao ili ziendelezwe na kuleta tija kwa taifa Akizungumza hii leo Jijini Dar […]
Na Madina Mohammed IRINGA WAMACHINGA Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Nchini (TMDA) kwa mara ya tatu leo imetoka tuzo kwa Waandishi wa habari bora wa Uandishi wa habari za dawa, vifaa tiba, vitendanishi na bidhaa za tumbaku. Akizungumza wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo hizo ambazo pia ziliambatana na Kikao kazi Cha Wahariri […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Jumuiya ya mitandao ya kijamii Tanzania JUMIKITA Kwa kushirikiana na TAHLISO wameandaa kongamano la wanahabari wa mitandao ya kijamii nchini litakalofanyika tarehe 20 Mei 2024 Katika ukumbi wa maktaba ya chuo kikuu Cha Dar es salaam” Hayo ameyasema Leo Tarehe 18 Mei 2024 Mwenyekiti wa jumuiya ya mitandao […]
Ampongeza Rais Samia kinara nishati safi* Awataka wananchi wa Msomera kubeba ajenda ya nishati safi* Matumizi ya kuni sasa basi Msomera* Serikali yagawa majiko banifu na gesi, yagharimu zaidi ya milioni 200* Na Madina Mohammed WAMACHINGA Naibu Waziri wa Nishati Mhe.Judith Kapinga, amewataka wananchi wa Msomera kuhakikisha wanaibeba ajenda ya nishati safi ya kupikia kwa […]
Na Mwandishi wetu Wamachinga Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua rasmi eneo la Urafiki mapema mwaka huu, ikiwemo mali zote zilizokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China (Tanzania – China Friendship Textile CO LTD). Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Nyumba la Taifa ameyasema hayo leo wakati wa ziara […]
Na Mwandishi wetu Wamachinga -Amtaka Naibu kamishna wa Ardhi Mkoa kuanza utaratibu wa kupima mara moja. -Aagiza waliofoji nyaraka wachukuliwe hatua Kali za kisheria -Awataka wenyeviti na Watendaji wa kata na mitaa kutokuwa sehemu ya migogoro. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ametangaza rasmi eneo la Muhimbili-Pemba Mnazi Wilaya ya Kigamboni […]
Kilolo, Iringa. Wananchi wa wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wameishukuru serikali chini ya uongozi wa Rais wa awamu ya sita Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Barabara ya Kidabaga-Bomalangโombe ambao umeweza kuwaongezea kipato na kuwainua kiuchumi. Wakiongea kwa wakati tofauti wananchi hao wamesema kwamba baada ya kukamilika kwa Barabara hiyo yenye urefu wa […]